Pata taarifa kuu
Siha Njema

Madhara ya saratani ya shingo ya kizazi nchini Kenya

Imechapishwa:

Katika makala haya tunaangazia mpango mpya  wa wizara ya afya nchini Kenya kupambana na saratani ya shingo ya kizazi wakati huu taifa hili likishuhudia vifo vya wanawake tisa kila siku kutokana na saratani ya aina hiyo.Kupata mengi zaidi ungana na mwanahabari wetu wa masuala ya afya Caroline Korir

Saratani ya mlango wa kizazi
Saratani ya mlango wa kizazi © rfi
Vipindi vingine
  • 10:14
  • 10:20
  • 08:40
  • 10:25
  • 10:09
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.