Pata taarifa kuu
Siha Njema

Siku ya Kimataifa ya kuadhimisha shinikizo la damu

Imechapishwa:

Makala haya yanaangazia tatizo la shinikizo la damu ,katika maadhimisho ya siku ya kimataifa ya shinikizo la damu inayoadhimishwa kila Mei 17. Shinikizo la damu ni baadhi ya magonjwa yasiyoambukiza, yanayoongoza kusababisha vifo ulimwenguni ,shirika la afya duniani likiripoti watu zaidi ya bilioni moja wakiwa wanaugua ugonjwa huo.

DR
Vipindi vingine
  • 10:14
  • 10:20
  • 08:40
  • 10:25
  • 10:09
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.