Pata taarifa kuu
Siha Njema

Tambua namna ya kutibu ugonjwa wa Menengitis

Imechapishwa:

Katika Makala haya ,utafahamu kuhusu ugonjwa wa Menengitis unaosababishwa na bacteria zinazoathiri uti wa mgongo na sehemu ya ubongo wa binadaam. Shirika la afya duniani lmeorodhesha Menengitis kuwa ugonjwa hatari unaoweza kusababisha vifo kwa haraka na unaohitaji huduma za dharura.

Dawa za kutibu ugonjwa wa uti wa mgongo
Dawa za kutibu ugonjwa wa uti wa mgongo AFP/File
Vipindi vingine
  • 10:14
  • 10:20
  • 08:40
  • 10:25
  • 10:09
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.