Pata taarifa kuu
Siha Njema

Wiki ya unyonyeshaji duniani katika kipindi cha Covid 19

Imechapishwa:

Katika makala ya Siha Njema juma hili , ambapo dunia hutenga  wiki ya kwanza ya Agosti kuwahamasisha akina mama kuwanyonyesha wanao kwa miezi sita ya kwanza katika maisha yao,tunaangazia juhudi za akina mama kunyonyesha wakati huu wa Covid 19 . Baadhi yao wameambukizwa Corona na kulazimika kujitenga na wanao wachanga.

Watoto wachanga wakinyonyeshwa katika kipindi hiki cha maambukizi ya Corona
Watoto wachanga wakinyonyeshwa katika kipindi hiki cha maambukizi ya Corona REUTERS - OMAR SOBHANI
Vipindi vingine
  • 10:14
  • 10:20
  • 08:40
  • 10:25
  • 10:09
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.