Pata taarifa kuu
Siha Njema

Wagonjwa wa Corona wanavyopokea huduma za afya wakiwa nyumbani

Imechapishwa:

Tunaangazia matibabu ya nyumbani au Homecare Services miongoni mwa wagonjwa wa Covid 19 ,hii ikiwa mkakati wa kukabiliana na ;uhaba wa vitanda  kwenye hospitali ,vyumba vya ICU au hewa ya Oxygen pia kupunguza Gharama ya juu  na unyanyapaa unaohusishwa na Corona.

Mgonjwa wa Corona akiwa hospitalini nchini Kenya
Mgonjwa wa Corona akiwa hospitalini nchini Kenya AP - Brian Inganga
Vipindi vingine
  • 10:14
  • 10:20
  • 08:40
  • 10:25
  • 10:09
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.