Pata taarifa kuu
Siha Njema

Tatizo la kiwewe miongoni mwa vijana nchini Kenya

Imechapishwa:

Katika Makala haya tunaangazia Kiwewe au Trauma , kinachosababishwa na matukio ya kuumiza au kushtua .Kiwewe au Trauma  imetajwa na watalaam ; kuchangia asilimia kubwa ya matatizo ya kiakili na idadi kubwa ya watu wanaojitoa uhai. Kwenye Makala haya tumeangazia namna ya kukabiliana na majereha ya moyo.

Vijana nchini Kenya
Vijana nchini Kenya AFP/File
Vipindi vingine
  • 10:14
  • 10:20
  • 08:40
  • 10:25
  • 10:09
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.