Pata taarifa kuu
Siha Njema

WHO : Maisha ya wanaume yamefupisha

Imechapishwa:

Shirika la afya duniani, WHO, limesema  maisha ya wanaume wengi yanafupisha kutokana na wao kuwa na maumbile dhaifu na kuishi maisha hatari ya kutokuwa makini na afya zao.Mwezi Juni, ulimwengu hutenga juma moja kati ya tarehe 14 hadi 20 kuhamasisha jinsia ya kiume kuhusu afya zao,  kwenye makala haya tunajadili kwa nini wanaume hawapendi kufanyiwa uchunguzi wa afya au kwenda hospitali.

Wagonjwa katika hospitali ya Parirenyatwa Harare, Zimbabwe September 9, 2019
Wagonjwa katika hospitali ya Parirenyatwa Harare, Zimbabwe September 9, 2019 Jekesai NJIKIZANA / AFP
Vipindi vingine
  • 10:14
  • 10:20
  • 08:40
  • 10:25
  • 10:09
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.