Pata taarifa kuu
Siha Njema

Utowaji wa chanjo ya Covid 19 barani Africa

Imechapishwa:

Katika Makala haya ,tunaangazia juhudi za watalaam wa afya na viongozi wa Afrika kupigania bara hili kupata chanjo ya kuzuia Corona baada ya madai ya  kutokuwepo kwa usawa kwenye usambazaji wa chanjo.Mataifa mengi ya Afrika kutokana na  ubaguzi huo na uhaba wa chanjo  yamesalia nyuma katika kampeni ya uchomaji chanjo. 

Mhudumu wa afya akijiandaa kupata chanjo ya corona
Mhudumu wa afya akijiandaa kupata chanjo ya corona AP - Sunday Alamba
Vipindi vingine
  • 10:14
  • 10:20
  • 08:40
  • 10:25
  • 10:09
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.