Pata taarifa kuu
Nyumba ya Sanaa

Reggae kurejea Afrika - Jah Bone D

Imechapishwa:

Msanii wa Muziki wa Reggae kutoka nchini Rwanda, Jah Bone D, baada ya kuishi Uswizi kwa miaka zaidi ya 20 sasa anataka kurejesha muziki wa Reggae katika nchi za Afrika Mashariki. Ungana na Steven Mumbi akizungumza na Jah Bone D katika Makala ya Nyumba ya Sanaa.

Mwanamziki wa muziki wa Reggae kutoka Rwanda
Mwanamziki wa muziki wa Reggae kutoka Rwanda © JAH BONE D
Vipindi vingine
  • 20:02
  • 20:09
  • 20:03
  • 20:03
  • 20:07
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.