Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Matukio ya wiki hii, kifo cha kiongozi wa wagner, siasa za DRC, Kenya, na kwengineko

Imechapishwa:

Makala ya Yaliyojiri wiki hii,imeangazia kuenea kwa taarifa ya kifo cha mtu anayedaiwa kuwa kiongozi wa kundi la mamluki wa Wagner Yevgeny Prigozhin, mkutano wa Brics huko Johannesburg Afrika kusini, siasa za Kenya, DRC, matukio ya kule Uganda, uchaguzi wa Gabon, pia hali inavyoendelea Niger na kwengineko duniani

Picha ya Kiongozi wa kundi la Wagner Yvegueni Prigozhin
Picha ya Kiongozi wa kundi la Wagner Yvegueni Prigozhin AP
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.