Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Hali ya dharura mashariki ya DRC, siasa za Kenya, Niger na kwengineko

Imechapishwa:

Tathmini juu ya hali ya dharura iliyotangazwa na rais wa DRC Felix Tshisekedi kwenye mikowa ya Kivu kaskazini na Ituri, Siasa za Kenya, kukamatwa kwa Dokta Slaa mwanasiasa mkongwe wa nchini Tanzania, Hali ya huko Sudan, Niger na kwengineko duniani. Kupata mengi zaidi, ungana na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka

Mnara wa ukumbusho wa kuadhimisha hali ya dharura huko Kivu Kaskazini na Ituri, Goma, Mei 5, 2022.
Mnara wa ukumbusho wa kuadhimisha hali ya dharura huko Kivu Kaskazini na Ituri, Goma, Mei 5, 2022. © Coralie Pierret / RFI
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.