Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Maandamano ya upinzani nchini Kenya, DRC mauaji ya Okende yalipangwa asema Ambongo

Imechapishwa:

Makala hii imeangazia kuhusu maandamano yaliyoitishwa na wapinzani nchini Kenya, ziara ya rais wa Hungary nchini Tanzania, lakini pia uchunguzi kuhusu mauaji ya Cherubin Okende, mwanasiasa mshirika wa karibu wake Moise Katumbi, aliyeuawa katika mazingira tatanishi katika mji mkuu wa Kinshasa, nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo lakini pia siasa za kikanda, na mambo mengine duniani..

Polisi wanasema hawataruhusu maandamano kufanyika tena
Polisi wanasema hawataruhusu maandamano kufanyika tena REUTERS - BRIAN OTIENO
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.