Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Rais Tshisekedi awateua Bemba na Kamerhe kuwa Mawaziri

Imechapishwa:

Miongoni mwa yale utakayosikia, ni hatua ya rais wa DRC Felix Tshisekedi kumteua Jean Pierre Bemba kuwa Waziri mpya wa Ulinzi na Vital Kamerhe kuwa Waziri wa Uchumi, maandamano ya upinzani nchini Kenya na makabiliano ya waandamanaji na polisi nchini Ufaransa kupinga mageuzi ya mfumo wa pensheni.

Mawaziri wapya nchini DRC Vital Kamerhe na Jean-Pierre Bemba
Mawaziri wapya nchini DRC Vital Kamerhe na Jean-Pierre Bemba © Montage RFI - AFP/Fabrice Coffrini / AFP
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.