Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy azuru Marekani

Imechapishwa:

Baadhi ya matukio makubwa wiki hii ni pamoja na kundi la waasi wa M 23 kuanza kujiondoa Mashariki mwa DRC, siku 100 za uongozi wa rais wa Kenya William Ruto pamoja na rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy kuzuru nchini Marekani.

Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy  akiwa na Joe Biden wa Marekani, Disemba 22, 2022
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy akiwa na Joe Biden wa Marekani, Disemba 22, 2022 © Patrick Semansky / AP
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.