Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Mwafaka wa amani ya DRC wapatikana jijini Nairobi, kiongozi wa Azimio aanza mikutano

Imechapishwa:

Makala hii imeangazia vikwazo vya Umoja wa Ulaya dhidi ya waasi wa DRC, na pia hatua ya makundi ya waasi wa mashariki mwa DRC kusaini mkataba wa kusitisha vita, kinara wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga aanza mikutano yake ya kisiasa, Uganda yapokea shehena ya kwanza ya chanjo za majaribio dhidi ya virusi Ebola, Ufaransa na Senegal zilitiliana saini kuimarisha mahusiano ya kidiplomasia, Marekani na Urusi zilibadilishana wafungwa..

Wanajeshi wa FARDC wakishika doria katika eneo la Goma Kivu Kaskazini. ambako kuna vikosi vya waasi wa M23 Julai 29, 2012,
Wanajeshi wa FARDC wakishika doria katika eneo la Goma Kivu Kaskazini. ambako kuna vikosi vya waasi wa M23 Julai 29, 2012, REUTERS/James Akena
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.