Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

M23 wataka kukutana na Joao Laurenso, GMO yapingwa Kenya, wakaazi wa Ukraine gizani

Imechapishwa:

Makala hii imeangazia kauli la kundi la waasi wa M23 kutaka kukutana na msuluhishi wa mgogoro kati ya DRC na Rwanda rais wa Angola Joao Laurenso, Uganda yasema, maambukizo ya virusi vya Ebola, yameanza kupungua, kinara wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga wiki hii aliikosoa serikali kwa kukubali kuagizwa kwa mahindi yaliyotengenezwa kwa vinasaba maarufu kama GMO, nchini Mali serikali ya mpito ilitangaza kusitisha shughuli za mashirika yote yanayofadhiliwa na Ufaransa, pamoja na matukio mengine.

Wanajeshi wa FARDC (Jeshi la DRC) wakiwa katika doria ya usalama kuzunguka uwanja wa ndege wa Kiwanja, karibu na Rutshuru, kilomita 70 kutoka mji wa Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Wanajeshi wa FARDC (Jeshi la DRC) wakiwa katika doria ya usalama kuzunguka uwanja wa ndege wa Kiwanja, karibu na Rutshuru, kilomita 70 kutoka mji wa Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. AFP - GUERCHOM NDEBO
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.