Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Kenya yatuma wanajeshi mashariki ya DRC, mkataba wa amani Ethiopia pia siasa za Israeli

Imechapishwa:

Makala hii imeangazia hatua ya Kenya kuwatuma wanajeshi wake huko mashariki ya DRC baada ya waasi wa M23 kuyateka miji ya Rutshuru na Kiwanja huku juhudi za kidiplomasia kupatanisha nchi za DRC na Rwanda zikiendelea, pande hasimu nchini Ethiopia zafikia makubaliano ya amani, na uchaguzi wa wabunge nchini Israeili wampa ushindi waziri mkuu wa zamani Benjamin Netanyahu, pia utasikia mengi zaidi.....

Wanajeshi wa serikali ya Congo FARDC wakiwa katika mji wa Bunagana  November 5, 2013
Wanajeshi wa serikali ya Congo FARDC wakiwa katika mji wa Bunagana November 5, 2013 AFP - HABIBOU BANGRE
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.