Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

William Ruto awa rais wa tano wa Kenya, Vital Kamerhe azuru mashariki ya DRC

Imechapishwa:

Katika makala hii tumeangazia kuapishwa kwa William Samoei Ruto, na kuwa rais wa tano wa nchi hiyo;  ziara ya aliyekuwa mkuu wa ofisi ya rais wa DRC Félix Tshisekedi, na kiongozi wa chama cha UNC Vital Kamerhe, mashariki mwa nchi hiyo, Cote d’Ivoire yaitaka Mali kuwaachilia huru wanajeshi wake wasiopungua 46, pia hali iliyoko Ukraine na siasa za Marekani, na mambo yanavyoendelea kwengineko duniani.

Rais mpya wa Kenya William Ruto wakati wa hafla ya kuapishwa kwake jijini Nairobi Septemba 13, 2022
Rais mpya wa Kenya William Ruto wakati wa hafla ya kuapishwa kwake jijini Nairobi Septemba 13, 2022 REUTERS - BAZ RATNER
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.