Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Uchaguzi wa Kenya 2022, maandamano dhidi ya MONUSCO-DRC, China na Marekani mvutanoni

Imechapishwa:

Makala hii imeangazia kutamatishwa kwa kampeni za uchaguzi wa agosti 09 nchini Kenya, DRC yamfukuza msemaji wa Monusco, pia ripoti ya Umoja wa mataifa ikisema jeshi la Rwanda lilivuka mpaka kuwasaidia waasi wa M23, Muungano unaotawala huko Senegal ulipoteza viti Bungeni lakini pia Taiwan wiki hii ilisema ndege za kivita za China zimeingia katika eneo lake.Ungana na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka kupata mengi zaidi

Mabango ya kampeni, katika mtaa mmoja jijini Nairobi, wagombea wawili wakuu wa uchaguzi wa Agosti 9 nchini Kenya, Raila Odinga na naibu rais William Ruto.
Mabango ya kampeni, katika mtaa mmoja jijini Nairobi, wagombea wawili wakuu wa uchaguzi wa Agosti 9 nchini Kenya, Raila Odinga na naibu rais William Ruto. © RFI/Robert Minangoy
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.