Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Mabaki ya Lumumba kuzikwa jijini Kinshasa, wagombea wa urais Kenya watoa ilani zao

Imechapishwa:

Makala hii imeangazia mazishi ya mabaki ya shujaa wa uhuru wa DRC Patrice Lumumba yaliyofanyika jijini Kinshasa, huku nchi hiyo ikiadhimisha kumbukumbu ya miaka 62 ya uhuru kutoka kwa mkoloni wake wa zamani Ubelgiji, kiongozi wa  muungano wa Kenya kwanza William Ruto wiki hii alizindua ilani ya muungano huo, ambapo pia kiongozi wa chama cha Roots Profesa George Wajakoyah, zimeangaziwa pia siasa za baadhi ya Nchi za Afrika magharibi, na kwengineko duniani.  

Jeneza lililobeba jino la mpigania uhuru wa DRC, Patrice Lumumba, katika mji wa Shilatembo juni 26 2022.
Jeneza lililobeba jino la mpigania uhuru wa DRC, Patrice Lumumba, katika mji wa Shilatembo juni 26 2022. © Paulina Zidi/RFI
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.