Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Mvutano kati ya Rwanda na DRC wachukua sura mpya, Mkuu wa AU akutana na rais Putin wa Urusi

Imechapishwa:

Tumekukusanyia mengi, utasikia Kuongezwa kwa muda wa operesheni za pamoja kati ya Jeshi la DRC na lile la Uganda UPDF dhidi ya ADF mashariki ya DRC, Mwanasiasa mkongwe nchini Kenya Kalonzo Musyoka alirejea tena katika muungano wa kisiasa wa Azimio, baada ya kutangaza kujitoa, Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika Macky Sall rais wa Senegal, alikutana na rais wa Urusi Vladmir Putin, wiki hii, sherehe za kumbukizi ya siku ya kuzaliwa malkia Elizabeth 2 pamoja na miaka 70 tangu achukue madaraka..uvamizi wa Urusi nchini Ukraine kufikia siku ya 100

Wanajeshi wa Uganda karibu na mpaka na DRC katika operesheni za kijeshi dhidi ya waasi wa ADF mwezi Machi 2007.
Wanajeshi wa Uganda karibu na mpaka na DRC katika operesheni za kijeshi dhidi ya waasi wa ADF mwezi Machi 2007. Photo: AFP Photo/Peter Busomoke
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.