Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Wanajeshi 10 wa Burundi wauawa nchini Somalia, watu 12 wajeruhiwa jijini Kinshasa DRC

Imechapishwa:

Miongoni mwa habari kuu za dunia wiki hii ni pamoja na Burundi kusema wanajeshi wake 10 wanaohudumu kule Somalia chini ya mwavuli wa UN waliuawa katika katika shambulio la AlShabaab, waziri mkuu wa zamani wa DRC Matata Ponyo alitangaza nia ya kugombea kiti cha urais mwaka ujao, na ziara yake Katibu mkuu wa UN kwenye nchi za Afrika Magharibi, nakuondolewa kwa raia katika mji wa viwanda vya Vyuma huko Mariupol, Ukraine

Gaspard Baratuza, msemaji wa jeshi la Burundi, desemba 12  2015, jijini Bujumbura Burundi.
Gaspard Baratuza, msemaji wa jeshi la Burundi, desemba 12 2015, jijini Bujumbura Burundi. REUTERS/Jean Pierre Aime Harerimana
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.