Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Wanafunzi warejea shule baada ya miaka miwili Uganda, kiongozi wa ADF akamatwa DRC

Imechapishwa:

Mamilioni ya wanafunzi walirejea shuleni kuanzia jumatatu ya January 10, baada ya shule kufungwa nchini Uganda kwa karibu miaka miwili, baada ya kuzuka kwa janga la Covid 19, ikiwa ndio nchi pekee duniani ambayo wanafunzi walikuwa hawajaanza masomo, kiongozi wa waasi wa ADF alikamatwa mpaka wa DRC na Burundi wiki hii, pamoja na mengine mengi. Kusikiliza zaidi ungana na mwandishi wetu Reuben Lukumbuka

Mwalimu akiwafundisha wanafunzi waliofika baada ya kufunguliwa kwa shule jijini Kampala, January 10 2022.
Mwalimu akiwafundisha wanafunzi waliofika baada ya kufunguliwa kwa shule jijini Kampala, January 10 2022. AFP - BADRU KATUMBA
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.