Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Guteress ataka Ethiopia kutoa ushahidi dhidi ya wafanyakazi wa UN waliofukuzwa

Imechapishwa:

Makala hii imeangazia kufukuzwa kwa wafanyakazi wa umoja wa mataifa nchini Ethiopia, mvutano kati ya viongozi wa madhehebu ya kikatoliki kiprotestanti na makanisa ya uamsho huko DRC washindwa kuafikiana kuhusu uteuzi wa mwenyekiti mpya wa tume ya uchaguzi, CENI. Huko Burundi wafanyakazi wa serikali waaswa kuhalalisha ndoa zao; la sivyo wafukuzwe kazi...pamoja na mengine mengi duniani kwa wiki hii.Ungana na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka kusikiliza zaidi. 

Waziri mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed akihutubia taifa jijini Addis-Abeba, oktoba 4 2021.
Waziri mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed akihutubia taifa jijini Addis-Abeba, oktoba 4 2021. AFP - AMANUEL SILESHI
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.