Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Diplomasia kati ya Kigali na Brussels mashakani, mwanahabari akamatwa DRC

Imechapishwa:

Makala hii imeangazia kuzorota kwa mahusiano ya kidiplomasia kati ya Rwanda na Ubelgiji kufuatia kesi ya Paul Rusesabagina, na huko DRC kukamatwa kwa mwandishi wa habari Sosthene Kambidi kupisha uchunguzi kuhusu mauaji ya wataalamu wawili wa Umoja wa mataifa Zaida Catalan na Michael Sharp mwaka 2017, pamoja na mengine mengi yaliyojiri kwenye Mataifa kadhaa.

Paul Rusesabagina akiwa akiwa na walinzi wa gereza kuu la Rwanda huku akipelekwa mbele ya mahakama.Septemba 2021
Paul Rusesabagina akiwa akiwa na walinzi wa gereza kuu la Rwanda huku akipelekwa mbele ya mahakama.Septemba 2021 Simon Wohlfahrt AFP/Archivos
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.