Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Zaira ya rais wa DRC Felix Tshisekedi eneo la mashariki, kifo cha Kenneth kaunda Zambia

Imechapishwa:

Makala ya wiki hii imeangazia ziara ya rais Felix Tshisekedi wa DRC katika eneo la mashariki ya nchi yake, lakini pia huko Zambia maombolezo ya kitaifa kufuatia kifo cha rais wa zamani wa nchi hiyo Kenneth Kaunda, kuachiwa huru kwa wafuasi wa chama cha upinzani nchini Uganda cha NUP, pamoja na matukio mengine barani Afrika na pia mkutano wa rais wa Marekani Joe Biden na rais wa Urusi Vladmir Putin, na siasa za Israeli   

Rais wa DRC Felix Tshisekedi na mwenyeji wa Uganda Yoweri Museveni wakati wa kuweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa barabara zinazounganisha miji ya Mashariki ya DRC na Uganda, Kasindi June 15 2021
Rais wa DRC Felix Tshisekedi na mwenyeji wa Uganda Yoweri Museveni wakati wa kuweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa barabara zinazounganisha miji ya Mashariki ya DRC na Uganda, Kasindi June 15 2021 © Ikulu ya Kinshasa DRC
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.