Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Rais wa Uganda Yoweri Museveni aapishwa, mchakato wa BBI nchini Kenya wakwama

Imechapishwa:

Makala hii imeangazia kuapishwa kwa rais wa Uganda Yowezi Museveni, nchini Kenya mchakato wa kuifanyia katiba mabadiliko wakwamishwa na mahakama kuu, kule Burundi tumemlikia hali ya usalama baada ya kutokea mashambulizi katika eneo la Muranvya, wakati nchini DRC magavana wa kijeshi wiki hii walianza kazi kwenye majimbo yaliyo chini ya hali ya dharura, utasikia mengi kutoka sehemu nyingine za dunia.Ungana na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka B.S.

Rais wa Uganda Yoweri Museveni aliingia madarakani mwaka 1986. picha kwa hisani ya Ikulu ya rais jijini Entebbe, Uganda November 09  2019.
Rais wa Uganda Yoweri Museveni aliingia madarakani mwaka 1986. picha kwa hisani ya Ikulu ya rais jijini Entebbe, Uganda November 09 2019. © AFP - Sumy Sadurni
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.