Jua Haki Zako
Jua Haki Zako ni makala yanayokuelimisha juu ya umuhimu wa kufahamu haki zako na sheria halali zilizomo kwenye jamii, mataifa na dunia kwa ujumla. Jua Haki Zako itakuelimisha juu ya masuala mbalimbali ya kisheria ndani ya Afrika Mashariki, Afrika na Duniani kwa ujumla.
Soma yanayofuataSikiliza kipindi kilichopita
Vipindi vyote
-
Hali ya haki za binadamu nchini Kenya na Tanzania
Visa vya raia kupotea na kisha kuonekana baada ya siku kadhaa nchini Kenya si vipya tena, hili likishuhudia mara kwa mara nchini Kenya, polisi wakituhumiwa kuhusika kwenye visa hivi09/01/202409:46 -
Mashirika ya misaada ya kibinadamu yakumbwa na uhaba wa fedha
Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia wakimbizi UNHCR, limeonya kuwa mashirika ya misaada yanakabiliwa na uhaba wa fedha, na kwamba yanahitaji dola milioni 400 kufikia mwisho wa mwaka huu.19/12/202309:57 -
Ipo siku watu wanaoishi na walemavu watapata nafasi sawa katika jamii
Tarehe 3 Disemba mwaka huu, dunia iliadhimisha Siku ya Kimataifa ya watu wanaoishi na ulemavu. Siku hii iliasisiwa mwaka 1992 na umoja wa mataifa.11/12/202310:05 -
Mashirika ya kutetea haki za kibinadamu kushinikiza serikali kutekeleza maamuzi ya mahakama
Mtandao wa Taasisi za Kitaifa za Haki za Kibinadamu za Kiafrika (NHRI)kwa ushirikiano na Tume ya Kitaifa ya Haki za Kibinadamu ya Kenya (KNCHR) pamoja na Taasisi ya Sheria ya Kibinadamu na Haki za Kibinadamu ya Raoul Wallenberg iliyo na makao yake makuu nchini Sweden iliandaa warsha ya kutathmini miradi kuhusu mafunzo ya Haki za Kibinadamu barani Afrika na ufuatiliaji wa jinsi ya Kutekeleza mapendekezo ya Maamuzi.04/12/202310:05 -
Siku 16 za mapambano dhidi ya ukatili wa wanawake
Kila mwaka dunia hutumia siku 16 kuadhimisha mapambano ya kupinga ukatili wa kijinsia hasa kwa wanawake na watoto .01/12/202310:03 -
Manufaa ya mitandao, mwandishi Paul Braine anasimulia
Ujio wa mitandao umekuja na masaibu mengi tu, licha ya manufaa mengi, katika makala haya Benson Wakoli anakamilisha mahojiano yake na mwandishi wa kitabu cha Parenting in Dijital Era, yaani uzazi kipindi hiki cha kidijiti, bwana Paul Braine kuhusu manufaa na hasara za mitandao.28/11/202309:55 -
Haki ya watoto kipindi hiki cha kidigiti
Paul Braine mwandishi wa vitabu nchini Kenya, amechapisha kitabu kinachoangazia haki za watoto kulelewa kipindi hiki cha dijitali na jukumu la wazazi kuwalea watoto kipindi hiki.07/11/202309:48 -
Kenya : Serikali yaendesha bomoabomoa kwenye ardhi inayodai kuwa yake
Katika makala haya tunajadili hatua ya serikali nchini kenya kubomoa makaazi ya raia wanaodiwa kujenga nyumba zao kwenye ardhi ya serikali, ambayo inamilikiwa na kampuni ya simiti ya East African Portland cement.27/10/202309:25 -
DRC : Haki za raia kuelekea uchaguzi mkuu
Nchini DRC raia wanajitarayarisha kushiriki uchaguzi mkuu mwezi disemba ambapo watapata fulsa kuwachagua wabunge pamoja na rais.23/10/202309:57 -
Sudan Kusini : Serikali inaminya uhuru wa kujieleza wa wanahabari
Kwenye makala ya juma hili tunaganzia ripoti ya bazara la haki za binadamu la umoja wa mataifa nchini Sudan Kusini, ambayo iliangaizia kwa kina mathila yanayotekelezwa na serikali ya Sudan Kusini dhidi ya wanahabari, wanaharakati pamoja na wanasiasa wa upinzani.10/10/202309:58 -
Jamii zisizo na uraia zalilia serikali ya Kenya
Nchini Kenya serikali inalenga kuanza kutoa vitambulisho vya kidijiti ili kuimarisha huduma zake mbali na kuzuia wizi wa mitandao ambao umekuwa ukiteklezwa na wahalifu.03/10/202309:28 -
Kenya : Mashirika ya kirai yaitaka serikali kuzingatia sheria
Nchini Kenya serikali inapanga kuzindua mpango wa kusajili wakenya upya ili kuwapa kitambushi cha kidijiti, ambacho serikali inasema kitasaidia kuimarisha huduma zake.25/09/202309:27 -
Mazingira yaathiri haki za watoto Africa
Wataalamu wa mazingira yameonya kuhusu athari kubwa inayotokana na maingira ambayo moja kwa moja inathiri watoto.21/09/202309:53 -
DRC : Visa vya ubakaji kambini Nyiragongo
Shirika la madaktari wasiokuwa na mipaka (MSF ) na wanawake wanaoishi kwenye kambi baada ya kutoroka makaazi yao katika vijiji vya mkowa Kivu Kaskazini mashariki mwa Congo DRC, wameeleza kuongezeka kwa visa vya ubakaji katika kambi ya Nyiragongo, wanawake hao wakitaka serikali ya DRC kuwashughulikia.18/09/202309:43 -
Haki ya wanawake kutumia mitandao
Katika makala ya haya tunaangazia haki za wanawake kutumia mitandao na haki za wanawanawake kwa jumla, kwa mengi zaidi skiza makala06/09/202309:55
Jua Haki Zako
Jua Haki Zako ni makala yanayokuelimisha juu ya umuhimu wa kufahamu haki zako na sheria halali zilizomo kwenye jamii, mataifa na dunia kwa ujumla. Jua Haki Zako itakuelimisha juu ya masuala mbalimbali ya kisheria ndani ya Afrika Mashariki, Afrika na Duniani kwa ujumla.