Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Sheria ya afya nchini Kenya kusaidia raia wake

Imechapishwa:

Ijumaa iliyopita nchi ya Kenya ilizindua mswada wake wenye utata unaosemekana kusaidia kuimarisha huduma za afya kwa wananchi wake.

Kutayarisha sindano ya chanjo ya kwanza ya malaria, RTS S, wakati wa awamu ya majaribio nchini Kenya mwezi Machi 2023.
Kutayarisha sindano ya chanjo ya kwanza ya malaria, RTS S, wakati wa awamu ya majaribio nchini Kenya mwezi Machi 2023. AFP - YASUYOSHI CHIBA
Matangazo ya kibiashara

Mpango huo wa Afya ukionekana kuwa mzigo zaidi kwa Wakenya wenye mishahara ambao sasa watatozwa 2.75% ya mishahara yao, kugharamia hazina hiyo ya Afya.

Tumemuuliza msikilizaji kuwa ana maoni gani kuhusu hatua hii, nchini Kenya?

Na je serikali yako imefanya nini kuafikia huduma za afya kwa wote?

Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.