Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Utawala wa kijeshi nchini Mali, Niger na Burkina Faso wasaini mkataba wa kushirikiana kijeshi,

Imechapishwa:

Utawala wa kijeshi nchini Mali, Niger na Burkina Faso umesaini mkataba wa ushirikiano wa kijeshi, mataifa haya yakiahidi kufanya kazi kwa pamoja kuzuia uvamizi wowote kutoka nje.Na kwenye makala yetu utaskia maoni tofauti tofauti ya iwapo hatua hii ya kushirikiana kijeshi kati ya mataifa haya inaweza zuia tishio la kijeshi kutoka nje na iwapo mpango huo utafanikisha vita dhidi ya makundi ya kijihadi.

Mtawala mpya wa kijeshi wa Niger Jenerali Abdourahamane Tiani akisoma taarifa kwenye televisheni ya taifa.
Mtawala mpya wa kijeshi wa Niger Jenerali Abdourahamane Tiani akisoma taarifa kwenye televisheni ya taifa. © AFP
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.