Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Umoja wa Afika wajumuishwa kwenye muungano wa G20

Imechapishwa:

Umoja wa Africa umejumuishwa kuwa mwanachama wa kudumu katika muungano wa G20 katika mkutano uliokamilika nchini India na sasa una nafasi sawa na Umoja wa Ulaya EU. Nini mtazamo wako kuhusiana na hatua hii?Unadhani AU sasa utakuwa na ushawishi katika maswala ya ulimwengu. Kwenye makala haya utaskia maoni tofauti ya wasikilizaji kuhusiana na swala hili.

Nembo ya Umoja wa Afrika inaonekana nje ya jengo la makao makuu ya AU mjini Addis Ababa, Ethiopia, Novemba 8, 2021. REUTERS/Tiksa Negeri
Nembo ya Umoja wa Afrika inaonekana nje ya jengo la makao makuu ya AU mjini Addis Ababa, Ethiopia, Novemba 8, 2021. REUTERS/Tiksa Negeri REUTERS - TIKSA NEGERI
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.