Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Tetemeko la ardhi nchini Morocco: Mamlaka zakubali msaada kutoka Hispania, UAE na sio Ufransa

Imechapishwa:

Karibu watu elfu tatu wamepoteza maisha kufuatia tetemeko la ardhi lililotokea Jumamosi iliyopita nchini Morocco. Mamlaka zinakubali msaada wa kibinadamu wa dharura kutoka Uingereza, nchi za Kiarabu, na Hispania lakini sio Ufaransa, ambayo ina wakazi wapatao milioni 2 kutoka Morocco.TumekuulizaJe, siasa zinapaswa kupewa kipao mbele badala ya misaada ya dharura kwa wananchi? Kwenye makala haya utaskia maoni tofauti ya wasikilizaji kuhusiana na swala hili.

 Mtu huyu akipita katika jengo lililodondoka kutokana na tetemeko la ardhi katika kijiji cha Tafeghaghte, karibu na Marrakech, Morocco, Jumatatu Septemba 11, 2023. AP - Mosa'ab Elshamy
Mtu huyu akipita katika jengo lililodondoka kutokana na tetemeko la ardhi katika kijiji cha Tafeghaghte, karibu na Marrakech, Morocco, Jumatatu Septemba 11, 2023. AP - Mosa'ab Elshamy AP - Mosa'ab Elshamy
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.