Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Vita dhidi ya kundi la Al-Shabaab nchini Somalia

Imechapishwa:

Rais wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud na serikali yake wameimarisha vita vikali dhidi ya kundi hilo ambalo kwa muda sasa limekuwa likitekeleza mashambulio katika baadhi ya maeneo kwenye taifa hilo pamoja na nchi jirani.

Rais Hassan Cheikh Mohamoud ameapa kumaliza kundi hilo ndani ya kipindi cha miezi mitano
Rais Hassan Cheikh Mohamoud ameapa kumaliza kundi hilo ndani ya kipindi cha miezi mitano AFP - HASSAN ALI ELMI
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.