Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Afrika mbioni kutafuta suluhu ya changamoto ya ukosefu wa ajira kwa vijana

Imechapishwa:

Mwishoni mwa juma lililopita, dunia iliadhimisha siku ya kimataifa ya vijana, maadhimisho yaliofanyika wakati huu idadi kubwa ya vijana katika nchi za Afrika wakisalia bila ajira.

Wahamiaji kutoka Eritrea, Libya na Sudan wakisafiri kwa boti ya mbao katika bahari ya Mediterania, takriban maili 30 kaskazini mwa Libya, Jumamosi, Juni 17, 2023.
Wahamiaji kutoka Eritrea, Libya na Sudan wakisafiri kwa boti ya mbao katika bahari ya Mediterania, takriban maili 30 kaskazini mwa Libya, Jumamosi, Juni 17, 2023. AP - Joan Mateu Parra
Matangazo ya kibiashara

Unafikiri nchi za Ukanda wa Afrika zifanye nini kuongeza nafasi za ajira kwa vijana? Bonyeza sauti ili usikilize maoni ya wasikilizaji.

Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.