Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

ECOWAS imeutaka utawala wa kijeshi nchini Niger kurejesha utawala wa kiraia ndani ya wiki moja

Imechapishwa:

ECOWAS imetishia kutumia nguvu na kutangaza vikwazo vya kiuchumi dhidi ya Niger ,iwapo utawala wa kijeshi uliofanya mapinduzi ,hautarejesha utawala wa kiraia ndani ya wiki moja

Mwenyekiti wa jumuiya ya ECOWAS rais wa Nigeria Bola Ahmed Tinubu
Mwenyekiti wa jumuiya ya ECOWAS rais wa Nigeria Bola Ahmed Tinubu © AFP/Kola Sulaimon
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.