Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Upinzani wateta nchini Zimbabwe

Imechapishwa:

Nchini Zimbabwe vyama vya upinzani vinatatizwa kufanya kampeni kuelekea uchaguzi wa mwezi ujao wakati chama tawala kikiendelea na kampeni, polisi wakidai ni kutokana na vyama vya kukosa kutoa ilani ya kufanya mikutano ya hadhara kwa wakati, hivyo wanalazimika kuvizuia.


Rais Emmerson Mnangagwa, kushoto, na kiongozi wa upinzani Nelson Chamisa, kulia,
Rais Emmerson Mnangagwa, kushoto, na kiongozi wa upinzani Nelson Chamisa, kulia, AFP/File
Matangazo ya kibiashara
Wafuasi wa kiongozi wa upinzani nchini Zimbabwe
Wafuasi wa kiongozi wa upinzani nchini Zimbabwe AP - Tsvangirayi Mukwazhi
Tumeuliza iwapo unahisi demokrasia ya Zimbabwe ipo hatarini na hili linatoa taaswira gani kwa mataifa ya Africa.

Haya hapa baadhi ya maoni yako

Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.