Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Siku ya Kimataifa ya dhidi ya dawa za kulevya na usafirishaji Haramu

Imechapishwa:

Kila mwaka tarehe 26 Juni ulimwengu huadhimisha siku ya kimataifa ya kupinga uraibu na usafirishaji wa dawa za kulevya. Katika makala ya mwaka huu tunakuuliza unadhani nchi zimefanya vya kutosha kudhibiti tatizo hili? Na nini kifanyike ili kutatua suala hili?

Raia wakitembea nchini India wakianza uhamasisho wa wiki nzima dhidi ya uraibu wa dawa za kulevya, Sunday, Juni 19, 2022, kabla ya siku yenyewe ambayo ni huadhimishwa Juni 26.
Raia wakitembea nchini India wakianza uhamasisho wa wiki nzima dhidi ya uraibu wa dawa za kulevya, Sunday, Juni 19, 2022, kabla ya siku yenyewe ambayo ni huadhimishwa Juni 26. AP - Bikas Das
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.