Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Maoni ya waskilizaji kuhusu IGAD kuwaleta pamoja mahasimu wa kivita nchini Sudan

Imechapishwa:

Viongozi wa ukanda wa IGAD wamepanga kuwakutanisha mahisimu wawili wa kijeshi nchini Sudan Abdel Fattah al Burhani na mwenzake Mohammed Dagalo ana kwa ana ilikumaliza mapigano yanayoendelea.Unadhani hili litafanikiwa?Unaamini mashirika ya kikanda kama IGAD yanaweza kumaliza vita nchini Sudan?

Viongozi wakuu wa Jumuiya ya IGAD wakiwa katika picha ya pamoja mjini Mogadishu, Somalia. 01 / 02 / 2023
Viongozi wakuu wa Jumuiya ya IGAD wakiwa katika picha ya pamoja mjini Mogadishu, Somalia. 01 / 02 / 2023 © TheVillaSomalia
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.