Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Rais wa Tanzania Samia Suluhu ahimiza michezo ya soka nchini mwake

Imechapishwa:

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, ameahidi kutoa usafiri wa ndege kwa ajili ya mashabiki kwenda nchini Algeria pamoja na dolla za Marekani Elfu tisa kwa kila goli litakalofungwa na wachezaji wa klabu ya soka ya Yanga katika fainali ya mashindano ya kombe la shirikisho barani Afrika. Ungana na mwandishi wetu Reuben Lukumbuka kupata mengi zaidi na wasikilizaji wa RFI Kiswahili

Kikosi cha wachezaji wa klabu ya Yanga ya nchini Tanzania
Kikosi cha wachezaji wa klabu ya Yanga ya nchini Tanzania © Young Africans
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.