Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Wafanyibiashara wa Kariakoo Tanzania wagoma

Imechapishwa:

Nchini Tanzania, wafanyabiashara katika soko la Kariakoo wamegoma kulalamikia hatua ya serikali kuongeza kodi wakati huu ambapo gharama ya maisha ipo juu.

Soko la Kariakoo mjini Dar es salaam. Picha na Architectuul.
Soko la Kariakoo mjini Dar es salaam. Picha na Architectuul. © rfi Kiswahili
Matangazo ya kibiashara

 

Ni kutokana na hatua hii ndio maana tumekuliza je, unadhani kuongeza kodi au kukopa ni suluhisho kwa nchi kufanya maendeleo ya haraka ?

Haya hapa baadhi ya maoni yako.

10:00

HABARI RAFIKI 17 05 2023 KUHUSU TANZANIA

Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.