Habari RFI-Ki
Je vikosi vya SADC ndio suluhu ya usalama mdogo mashariki mwa DRC
Imechapishwa:
Cheza - 09:28
Muungano wa nchi za SADC, umeafikiana kutuma kikosi chake nchini DRC kusaidia kurejesha usalama mashariki mwa nchi hiyo. Tumewauliza wasikilizaji wetu ikiwa wanadhani kikosi cha SADC kitaleta tofauti mashariki mwa DRC.Raia nchini DRC watazamie nini kutoka kwa kikosi cha SADC