Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Ni mbinu zipi bora za kutumia ili kudhibiti mafuriko barani Afrika

Imechapishwa:

Mataifa ya ukanda wa Afrika mashariki yameshuhudia mafuriko makubwa ambapo mamia ya watu nchini Rwanda na DRC wamethibitishwa kufariki. Tumepata taswira ya hali ilivyo katika mataifa mbalimbali.Pia tumeuliza suluhu ya changamoto hizi za mafuriko ni nini? Tusikilize maoni ya wasikilizaji wetu.

Raia walioathirika na mafuriko Wilayani Karongi, magharibi mwa Rwanda, Mei 3, 2023. (AP Photo)
Raia walioathirika na mafuriko Wilayani Karongi, magharibi mwa Rwanda, Mei 3, 2023. (AP Photo) AP
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.