Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Maoni yako kuhusu mkutano wa viongozi wa ICGL unaotarajiwa kufanyika Bujumbura mei 6

Imechapishwa:

Viongozi wa kanda na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guteres watakutana mjini Bujumbura siku ya Jumamosi kujadili usalama mashariki mwa DRC, baada ya M23 kuanza kujiondoa. Mkutano huu unakuja huku DRC ikikosoa uimara wa EAC.Unatarajia nini kutoka kwa mkutano huu? Je, mamlaka ya kikosi cha EAC yaangaliwe upya?

Viongozi wa nchi za maziwa makuu wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya kumaliza mkutano wao, mjini Luanda, Angola.
Viongozi wa nchi za maziwa makuu wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya kumaliza mkutano wao, mjini Luanda, Angola. Kenya Govt
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.