Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Matumaini ya udhibiti wa malaria kupitia chanjo kutoka chuo kikuu cha Oxford

Imechapishwa:

Makala hii imeangazia kiwango cha maambukizi ya malaria barani Afrika lakini pia ni kwa namna mataifa kadhaa ya bara hilo yanavyopambana na ugonjwa huo, baada ya shirika la afya duniani WHO kutangaza kuwa chanjo dhidi ya ugonjwa kutoka chuo kikuu cha Oxford Uingereza ina uwezo wa kumaliza ugonjwa huo na hivyo kuibua matumaini makubwa.

Mashauriano ya uhamasishaji kuhusu ugonjwa wa Malaria huko N'Gaba, DRC.
Mashauriano ya uhamasishaji kuhusu ugonjwa wa Malaria huko N'Gaba, DRC. ©Georges Merillon
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.