Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

China yakamilisha siku tatu za Mazoezi yanayolenga kuivamia Taiwan

Imechapishwa:

China imefanya mazoezi ya siku tatu ya  kijeshi huku ikikisiwa kuwa na mpango wa  kulenga maeneo muhimu ya Taiwan.Wakati jeshi la China likifanya mazoezi hayo  kuzunguka kisiwa hicho, Marekani iliitaka China kuonyesha kujizuia.

Jeshi la China limetamatisha mazoezi ya siku tatu yanayolenga kuivamia Taiwan
Jeshi la China limetamatisha mazoezi ya siku tatu yanayolenga kuivamia Taiwan © Chiang Ying-ying / AP
Matangazo ya kibiashara

Mwishoni mwa juma  maafisa wa ulinzi mjini Taipei waliishutumu Beijing kwa kutumia ziara ya Rais Tsai wa Marekani kama kisingizio cha kufanya mazoezi ya kijeshi, ambayo yamevuruga pakubwa amani, utulivu na usalama katika eneo hilo.

Kufuatia swala hili tumewauliuza wasikilizaji iwapo  wanadhani hii itaongeza mvutano kati ya Marekani na China?  na Je, wanaamini kuwa China inaweza kuivamia Taiwan ? na haya yalikua maoni yao.

Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.