Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Maoni ya waskilizajhi kuhusu kukithiri kwa maandamano duniani

Imechapishwa:

Nikukaribishe mpenzi msikilizaji katika Makal aya leo Habari Rafiki tunazungumzia kuhusu Kuongezeka kwa maandamano yanayoshuhudiwa duniani zikiwemo Kenya, Afrika Kusini, Tunisia na Ufaransa kuzua taharuki kwa kero mbalimbali ikiwemo gharama kubwa ya maisha.Unadhani maandamano ndio njia ya kuifanya serikali kuchukua hatua?

Waandamanaji wakibebelea mabango yaliyoandikwa "4IBK achia ngazi" wakati wa maandamano dhidi ya serikali.
Waandamanaji wakibebelea mabango yaliyoandikwa "4IBK achia ngazi" wakati wa maandamano dhidi ya serikali. MICHELE CATTANI / AFP
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.