Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron yupo ziarani Africa

Imechapishwa:

Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron, anafanya ziara kwa mataifa manne ya Africa, ikiwemo Jumhuri ya Kidemokrasia ya Congo, katika hatua kujaribu kuimarisha uhusiano kati ya Ufaransa na mataifa ya Africa . 

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron, 
Friday, February 17, 2023.
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron, Friday, February 17, 2023. AFP - ODD ANDERSEN
Matangazo ya kibiashara

Ziara yake inajiri wakati huu wanajeshi wa taifa lake wakiwa wametimuliwa katika mataifa ya Mali na Burkina Faso, mataifa hayo yakitumu Ufaransa kwa uchangia utovu wa usalama katika mataifa hayo.

Hata hivyo katika hotuba yake kwa taifa siku ya jumatatu juma hili, rais Macron alitetea taifa lake dhidi ya mataifa ya kuchochea ukosefu wa usalama eneo la sahel, akituhumu mataifa hayo kwa kushindwa kupambana na ugaidi.

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron akiwa na Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron akiwa na Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed AP - John Thys

Tumekuuliza je  ziara ya rais Macron ina manufaa yoyote kwa mataifa ya Africa  

Haya hapa baadhi ya maoni yako.

Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.