Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Maoni yako kuhusu mada ulioichaguwa mwenyewe kupitia makala Habari Rafiki

Imechapishwa:

Kama ilivyokawaida kila siku ya Ijumaa, RFI Kiswahili hutoa nafasi kwa waskilizaje wake kuchangia mada walioichaguwa wenyewe. Juma hili kumekuwa na matukio kadhaa, ikiwemo swala la mzozo wa DRC na Rwanda ikiwemo maandamano ya wananchi kupinga uwepo wa vikosi vya Monusco na EAC lakini pia tetemeko la ardhi huko Syria na Uturuki. Juma hili ulikuwa naye Ali Bilali

Matokeo ya tetemeko la ardhi
Matokeo ya tetemeko la ardhi AP - Ahmet Akpolat
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.