Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Maoni ya wasilizaji kuhusu maandamano kudai kuondoka kwa vikosi vya Monusco na EAC

Imechapishwa:

Ali Bilali tuko pamoja tena katika Makala yetu haya Habari Rafiki alhamisi hii, ambapo tunazungumzia kuhusu Maandamano yameendelea kushuhudiwa nchini DRC kudai kuondoka kwa vikosi vya Monusco na vile vya EAC. Maandamano hayo yamegubikwa na vurugu na umwagaji wa damu.Kwa mtazamo unafkiri wananchi wa Congo wanaelewa nini chanzo cha vurugu zinazoendelea kushuhudiwa ?Unafkiri mitandao ya kijamii inachangia kwa kiasi gani kuongezeka kwa vurugu?karibu kuchangia maoni

Maandamano mawili yakiongozwa na mashirika ya kiraia yaliandamana Jumatano hii, Januari 18 huko Goma.
Maandamano mawili yakiongozwa na mashirika ya kiraia yaliandamana Jumatano hii, Januari 18 huko Goma. AFP - GUERCHOM NDEBO
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.