Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Mizozo katika mataifa ya Africa yazidi kutokota

Imechapishwa:

 Nchi ya Morocco inashutumu Algeria kwa kuivamia, shutuma kama hizi pia zimekuwa zikitolewa na mataifa mengine ya Afrika kama vile DRC na Rwanda.Unafikiri ni kwa nini mataifa ya Afrika yanaendelea kuchokozana?Nini kinaweza kufanyika kutatua mizozo kati ya mataifa ya Afrika?Haya hapa baadhi ya maoni yenu.

Josep Borrell, mkuu Tume ya umoja wa Ulaya inayosimamia diplomasia, na Nasser Bourita, Waziri wa Mambo ya Nje wa Morocco, Januari 5, 2023 huko Rabat.
Josep Borrell, mkuu Tume ya umoja wa Ulaya inayosimamia diplomasia, na Nasser Bourita, Waziri wa Mambo ya Nje wa Morocco, Januari 5, 2023 huko Rabat. AFP - -
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.